Tunapozungumzia suala la viungo asilia vinavyosaidia kuboresha afya, binzari manjano inaonekana kuwa ndiyo kiungo kinachoongoza.
Kwa kawaida imekuwa ikitumika kama kiungo katika vyakula vingi vya asili ya Asia ya Kusini, na inafahamika zaidi kutokana na kuwa na faida nyingi katika kuboresha afya.
Afya Bora Turmgel imetengenezwa kwa kutumia binzari manjano na ina faida zote muhimu zitokanazo na binzari manjano.
Kidonge kimoja cha Turmgel kina ujazo sawa na vijiko tisa vya binzari manjano.
Inapatikana kwenye duka la dawa karibu na wewe.