Katika kipindi cha ujauzito, anza kutumia Bio-Oil skincare oil mapema, hata kwamba tumbo halijaanza kutanuka. Itasaidia kulainisha ngozi na kuzuia michirizi isitokee.
Inapatikana katika maduka ya dawa na supermarkets karibu nawe.
Kwa maswaliano tumia email: bio-oil@jdpharmacy.co.tz