Usalama Barabarani: Je, Una Bima?
Epuka gharama zisizotarajiwa kutokana na ajali za barabarani kwa kukata bima ya uhakika kutoka Strategis.
Ukiwa na bima kubwa kutoka Strategis, unapata:
Kulipwa thamani ya gari lililoharibika vibaya.
Kulipwa gharama za marekebisho katika gereji ya chaguo lako.
Kulipwa gharama za kuvutwa gari kutoka eneo la ajali.
Kulipia hasara kwa watumiaji wengine wa barabara.
Pata bima ya gari leo kupitia ofisi zetu, mawakala, au mabenki.
Piga simu: 0755 772 111 / 0782 700 800