Maumivu kutoka kwa mvutano wa misuli, mkazo, shingo ngumu na mabega kuuma yanaweza kuzuia kufanya kazi za kila siku.
Afya Bora Capsicum Plaster intoa ahueni kutokana na maumivu kwa kutoa joto katika eneo lililopakwa. Joto kutoka kwa kiraka inapunguza mvutano wa misuli, na kurejesha uhamaji.
Capsicum Plaster inapatikana katika maduka yote ya dawa karibu nawe.
Kwa maulizo ya bei ya jumla wasiliana nasi kwa +255 699 477 243