Family Combo!!
Combo iii, package kwa ajili ya familia na marafiki inayotosha kabisa kwa watu kuanzia watatu hadi wanne
Karibu katika migahawa yetu weekend hii na ujipatie Combo iii kwa Tsh 32000/= uweze kufurahia wewe pamoja na familia yako au marafiki.
Tag rafiki zako ambao ungependa kula nae package hii.
Delivery: Duka direct | Piki | Foodie | Food Sasa
+255 767 944 230 | +255 767 944 640