Pata bima ya afya kwa gharama nafuu kutoka Strategis:
Kwa kuzingatia uchumi wa m Tanzania, Strategis imekuja na kifurushi cha TUMAINI PLAN ambacho unaweza kukipata kwa kuanzia gharama ya Tshs 40,000/= tu kwa huduma ya fao la kulazwa( In patient) kwa mwaka.
Iwapo utahitaji mafao ya jumla pamoja na fao la wagonjwa wa nje ( Out patient) basi itakupasa ulipie kiasi cha Tshs 100,000/= tu kwa mwaka.
Kifurushi hiki kinaambatana na mafao ya vipimo, macho na meno, matibabu ya kawaida na ya kibingwa. Pia utaweza kuhudumiwa na vituo vya afya zaidi ya 500 vilivyopo nchini.
Wasiliana nasi sasa kwa maelezo zaidi.
0754680648
0768027187
0757123570