Kusafisha meno mara kwa mara ni muhimu kwa afya ya meno na kinywa kwa ujumla.
Empire dental clinic tunapenda kuwashauri watu wote kufanya uchunguzi na kusafisha meno kila baada ya miezi sita (6).
Kwa kufanya hivyo tutapunguza uwezekano wa kupata matatizo ya meno na fizi pia kuimarisha afya ya kinywa chako.
Je, unahitaji maelezo? Wasiliana nasi
+255 787 830 713